watu wasio na pesa utawajua tu.Kutumiwa na Mwanamke ina maana gani, anaendesha sebuleni kwenda chumbani tu.
Pesa nnazo acha kunidharau wewe ila ya kununulia jini sinawatu wasio na pesa utawajua tu.
hahahahaaaah
Asante mkuu swali kumtu sana....kuna mama namfahamu yeye anafanya kazi bagamoyo analala dsm bunju ...gari yake kila siku inakanyaga mileage zaid ya sabini..sasa nahuyu atakapo uza watasema gari ya mamaKutumiwa na Mwanamke ina maana gani, anaendesha sebuleni kwenda chumbani tu.
Mara nyingi kinamama hawapo rafu kwenye udereva huwa wanaibembeleza Sana gari ,pia kupatapata ajali sio Mara kwa MaraAsante mkuu swali kumtu sana....kuna mama namfahamu yeye anafanya kazi bagamoyo analala dsm bunju ...gari yake kila siku inakanyaga mileage zaid ya sabini..sasa nahuyu atakapo uza watasema gari ya mama
Unamjua ?