Car4Sale π—•𝗠π—ͺ π—«πŸ― -2014

Brown B

Senior Member
Joined
Nov 6, 2023
Posts
139
Reaction score
141
𝗕𝗠π—ͺ π—«πŸ―
Mwaka 2014
Engine 1990cc-Diesel
Rangi Pearl White
Mileage 57,000km
Bei 48,500,000 tsh

πŸ“ŒM-Sport πŸ“ŒGenuine Leather Seats πŸ“ŒPush to Start
☎+255626682228

Your browser is not able to display this video.
 
Mnyama ametulia sanaπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿
 
Mkuu hii gari mbona kama bado iko nje huko mambele??
IKo nchini?
Hujaeleza kama bei hiyo ni pamoja na ushuru ukilipia unapewa kadi na kuondoka ama?
 
Mkuu hii gari mbona kama bado iko nje huko mambele??
IKo nchini?
Hujaeleza kama bei hiyo ni pamoja na ushuru ukilipia unapewa kadi na kuondoka ama?
Mkuu gari ipo Dar Tanzania, kazi yetu ni kuhakikisha unapata gari bora lenye muonekano mzuri kama linavyoonekana pichani. Karibu sana.
 
Mnunuaji akishalipia gari, kuna gharama gani tena mpaka gari liwe tayari kuingia barabarani? Ni gari nzuri kimuonekano na pengine hata ndani.
Gari ni nzuri sana imejitosheleza, hakuna gharama zaidi. 48.5m+registration gari inakuwa yako. Na kama upo mkoani kwa gharama hiyo hiyo gari inakufikia.
 
Mnyama ametulia sanaπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿
Hao wanyama wanaongoza kufunuliwa boneti pembezoni mwa mabarabara sijui wana matatizo gani! Seems walikosa chanjo sahihi utotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…