When it comes to luxury and features, BMW yupo juu sana. Lakini ushawahi kujiuliza kwanini BMW zina depreciate faster sana kuliko Lexus LS?acheni kupambanisha BMW na uchafu πππ... Mjereumani toka pande za Buza
Bei zake huwa zimekaza mbaya yaniπHizo hazishuki Bei hovyo hovyo Kama zile utopolo Germany fc.
Amini kwambaHizo hazishuki Bei hovyo hovyo Kama zile utopolo Germany fc.
Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!When it comes to luxury and features, BMW yupo juu sana. Lakini ushawahi kujiuliza kwanini BMW zina depreciate faster sana kuliko Lexus LS?
Una spend 100,000USD kununua Bimmer mpya ikiisha warranty tu, ndio utaelewa kwanini hujui π Ukiachia spea zake kuwa ghali kote duniani (sio TZ tu) labour cost yake nayo inaumiza. Unaweza ukataka kufanya replacement ya kitu ukajikuta unaanza kupangua mambo kibao kwenye engine.
Gari ukibadili battery tu, basi uifanyie programming ijue kama kuna battery mpya. Ndugu, sijatoa dola laki moja kwa kuhangaishwa na kitu simple kama icho cha kubadili battery π
Ukiwa masikini unaona matajiri wanachezea pesa.Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!
Matajiri in real sense hawafanyi spending za kijinga kama maskini! Maskini wapenda show off ndio mnapenda complications ili muonekane mna hela!Ukiwa masikini unaona matajiri wanachezea pesa.
Sawa na kusema kwanini ukanywe Serengeti Lite ya 10,000 Kempiski wakati kuna ya 1,500 kwenye grocery ya jirani. Na utility ni ileile.
zisingekuwepo mkuu, haya yote kutishana tuWhen it comes to luxury and features, BMW yupo juu sana. Lakini ushawahi kujiuliza kwanini BMW zina depreciate faster sana kuliko Lexus LS?
Una spend 100,000USD kununua Bimmer mpya ikiisha warranty tu, ndio utaelewa kwanini hujui π Ukiachia spea zake kuwa ghali kote duniani (sio TZ tu) labour cost yake nayo inaumiza. Unaweza ukataka kufanya replacement ya kitu ukajikuta unaanza kupangua mambo kibao kwenye engine.
Gari ukibadili battery tu, basi uifanyie programming ijue kama kuna battery mpya. Ndugu, sijatoa dola laki moja kwa kuhangaishwa na kitu simple kama icho cha kubadili battery π
na sidhani mtu anae nunua V12 akawa na njaa ya shekeliKwa sababu ya reliability.
Mkuu Cheki mwenye nyumba ya Bill Gates...hao mabilionea tena wanapenda Vintage luxury cars unaweza kukuta porsche ya mwaka 70 ila bei yake haigusiki, shida maskini tukinunua vitu tutataka vionekane, hao billionaires wanaweza kuwa wananunua ila hawajisumbui hata kuonyesha wamenunua.Matajiri in real sense hawafanyi spending za kijinga kama maskini! Maskini wapenda show off ndio mnapenda complications ili muonekane mna hela!
Tajiri always wanafanyaga rational decisions hasa kwenye financial aspects! Huwezi mkuta bill gates anabadili magari kama simu japo pesa anayo ila anatembelea ka porsche kwa mwaka 70 huko!
Wako makini na value of what they pay for! Kulipia bia 10000 kempinski ni maamuzi ila yaweza kuwa maamuzi ya kipuuzi in the eyes of economy!
Jamaa ana retro cars tuMkuu Cheki mwenye nyumba ya Bill Gates...hao mabilionea tena wanapenda Vintage luxury cars unaweza kukuta porsche ya mwaka 70 ila bei yake haigusiki, shida maskini tukinunua vitu tutataka vionekane, hao billionaires wanaweza kuwa wananunua ila hawajisumbui hata kuonyesha wamenunua.
Magari yake
Maskini wetu wa huku waliochangamka wananunua BMW ya 2004 wkt wenzao warranty ikiisha tu(4 years or 50,000 miles)Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!
3 series mwaka 2007 vipi? Nielewesheni.Maskini wetu wa huku waliochangamka wananunua BMW ya 2004 wkt wenzao warranty ikiisha tu(4 years or 50,000 miles)
ana topup anachukua kitu kipya na Hawa ndio wenye kujua Nini maana ya kumiliki mjerumani.
Wenyewe wanakwambia atleast ununue ya miaka 8 nyuma i.e model ya 2013 sababu hio ya 2007 parts nyingi zinakua chakavu itakugharimu kuzibadilisha maana nyingi baada ya miaka 10 since YOM zinakua hoi.3 series mwaka 2007 vipi? Nielewesheni.
si vintage car mkuu ndio maana wengine wananunua za mwaka 70 πππWenyewe wanakwambia atleast ununue ya miaka 8 nyuma i.e model ya 2013 sababu hio ya 2007 parts nyingi zinakua chakavu itakugharimu kuzibadilisha maana nyingi baada ya miaka 10 since YOM zinakua hoi.
Ila nenda kwa uwezo wako mkuu,Kama uwezo Ni wa hio ya 2007 nunua tu maana ziko nyingi huku mtaani za huko early 2000's na zinadunda Kama kawaida tu,hata hio yako ya 2007 itaonekana ni new model huko mtaani.
BMW 3 series za kununua sahivi ni E46 (1998-2005), E90 (2006-2012), na F30 (20013-2020), kuna G20 kama upo vizuri hii ndio latest.3 series mwaka 2007 vipi? Nielewesheni.
Gari langu la kwanza lilikuwaga fusoBMW 3 series za kununua sahivi ni E46 (1998-2005), E90 (2006-2012), na F30 (20013-2020), kuna G20 kama upo vizuri hii ndio latest.
Kwa model ya 2007 ni E90 ndio BMW 3 series maarufu sana Tanzania. Kama unataka chukua ni nzuri, I owned two of them, ya kwanza nikauza, nikachukua tena.
Make sure ni cc 2500 kwenda juu (6 cylinders), pia kama utaweza iwe 2009 kwenda juu (LCI/facelift) ila sio lazima iwe na Sport package.
Gari zuri kwa ufupi, ila kama ndio 1st car sikushauri.
Hahahaa me 109 kudadeqGari langu la kwanza lilikuwaga fuso
Hahhahha, nimekuelewa mkuu.Wenyewe wanakwambia atleast ununue ya miaka 8 nyuma i.e model ya 2013 sababu hio ya 2007 parts nyingi zinakua chakavu itakugharimu kuzibadilisha maana nyingi baada ya miaka 10 since YOM zinakua hoi.
Ila nenda kwa uwezo wako mkuu,Kama uwezo Ni wa hio ya 2007 nunua tu maana ziko nyingi huku mtaani za huko early 2000's na zinadunda Kama kawaida tu,hata hio yako ya 2007 itaonekana ni new model huko mtaani.
πππ bado Sana hio.si vintage car mkuu ndio maana wengine wananunua za mwaka 70 πππ