Naomba wataalam mnisaidie, laptop yangu najaribu ku access internet kwa simu yangu C2-01 kutumia bluetooth, software ya Nokia niliyonayo ikijaribu kuunganisha inashindwa inataka niweke cable au external bluetooth...Je siwezi kupata software ya bluetooth wireless? natumia window XP toshiba satellite Pro