bluetooth ni hardware kwanza, alafu software zinakuja kusaidia OS kujua kuwa bluetooth ni nini. kma hardware zingine ndani ya PC ambazo sometimes zinakuja less drivers ukiweka fresh copy ya windows (mf. webcam), unatafuta tu compatible drivers.
so jibu la swali lako ni Yes, zinafanya kama PC yako ina BT