INAUZWA Blood Pressure machine for sale

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,286
Reaction score
1,420
Nauza digital blood pressure machine iko katika hali nzuri sana.
Bei sh 140000.00 mazungumzo yako.

Punguza gharama za kwenda kucheck BP kwenye clinic .simu 0712652110


 
si upitishe kwenye zahanat mkuu
 
si upitishe kwenye zahanat mkuu
Hichi kifaa sio lazima kiwe kwenye clinic.Kwa mgonjwa wa BP ni muhimu kucheck BP yako mwenyewe mara kwa mara nyumbani.Watu wanafariki kwa kukosa ku control BP zao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…