Siunajua kuna njaa ndugu, fikiria kwa yule mlala hoi kule. Ndoa nyingi zinavunjika kwaajili ya hili tatizo na sababu kubwa ni kutokuwa na uelewa na pia gharama kwani madaktari wengi hawasiti kukwambia kuwa tatizo hili linatibika kwa gharama sana. Ingawa habari njema ni kuwa ukiwa na bima ni free of charge.