Bloggers na youtubers wenzangu tujipange kulipa kodi awamu hii domain,bando,content nzuri bado zinatusubiri!!!

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
Duuh
Njmesikia mpango wa serikali sins uhakika ila nimesikia tu!
Eti bloggers na youtubers watalipa million1 kama ada ya miaka 3 baada ya hapo watalipia tena
Kwahiyo kila baada ya miaka 3 tutakua tuna lips 1million

Duuh wangetupunguzia maana shida tunazopitia mungu ndo anajua

Domain tunazilipia
Bando tuna nunua
Content tuna andika mpaka mikono ina lemaa
+kodi
Aisee sijui wata tumia system IPI kuwapata bloggers na youtubers maana sijui kama watalipa
Hebu dondosha wazo lako wewe kama blogger au youtuber halafu tujue ni VP
 
labda watawapata hao kina millardayo na issa michuzi ila wengine kuwapata itakuwa ngumu
 
Tanzania ifungue search engine yake. Na wazuie mtu asiweze kutumia mtandao tofauti na vigezo.....

Yaan tz ijutegemee kwenye internet ndo watayapata hao mablogger.....hivi hivi Ni shida.
 
Wakitoka hapo. ....waende Facebook.....kitambulisho cha uraia kitatumika
 
Japo sipo kwenye hiyo industry ila naomba niulize kidogo. Inawezekana serikali kujua blogs au YouTube channels zote zilizopo Tanzania? Mfano Mimi nikawa blogger nisipo walipa watatumia njia gani kunipata?
 
Hakuna kitu kibaya kama kutunga sheria kwania ya kukomoa watu fulani fulani afu chengine YouTube blogs nyngi ni bure kwanini uwatoze watu hela na wasiku wakitaka hiso hela mliozikusanya itakuwaje..
 
Hakuna kitu kibaya kama kutunga sheria kwania ya kukomoa watu fulani fulani afu chengine YouTube blogs nyngi ni bure kwanini uwatoze watu hela na wasiku wakitaka hiso hela mliozikusanya itakuwaje..
Ficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom