bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Thanxs very much brother nadhani safari yangu ya kujifunza inaanzia kwako maana wadau wenye utaalamu wameususa Uzi wangu licha ya kwamba mafundisho yangetufaa wengi so nadhani mahitaji msaada wako na kamwe usichoke na maswali yangu coz sina utaalamu wowote katika maswala haya.Ni vizuri Ukawa na website pamoja na app, Kama Hutaweza kuvimudu vyote unaweza kuanza na Website halafu baadae ukijiweza ukatengeneza app
Gharama ya Domain godady.com kwa mara ya kwanza unapata mpaka kwa $1.99/year na hosting pia zipo wanatoa gharama ndogo na kubwa ila nimeona pia godady wanatoa kwa $1.00/month ambayo ina 100gb storage ila kwenye kurenew nazani inakuwa zaidi ya hiyo. Kwa mimi natumia Hostinger bei zao nikubwa ila wana huduma nzuri (support) bei zao ni kuanzia $2.15/month. Hivyo jumla hapo unatakiwa walau usikose 80,000 Kwa kuanzia.Je gharama hizo za kutengenezewa Website,kulipia hosting na Domain zina range ktk kiasi gani?
Ku design Website inategemea na mtakavyoelewana na atakayekutengenezea. Ila kwa website za habari inaanzia 50,000- 300,000 au zaidi kutokana na mahitaji yako.Je gharama hizo za kutengenezewa Website,kulipia hosting na Domain zina range ktk kiasi gani?
Ni hiyo ya goddady ni promo tu mwaka unaofuata utalipa zaidi ya dollar 15 ,na hata support yake utakesha endapo litatokea tatizo.Gharama ya Domain godady.com kwa mara ya kwanza unapata mpaka kwa $1.99/year na hosting pia zipo wanatoa gharama ndogo na kubwa ila nimeona pia godady wanatoa kwa $1.00/month ambayo ina 100gb storage ila kwenye kurenew nazani inakuwa zaidi ya hiyo. Kwa mimi natumia Hostinger bei zao nikubwa ila wana huduma nzuri (support) bei zao ni kuanzia $2.15/month. Hivyo jumla hapo unatakiwa walau usikose 80,000 Kwa kuanzia.
Sijakuelewa mkuu ulikuwa unamaanisha nin?
Mimi Nilinunua Domain godady ina miaka miwili nilirenew kwa $13, Mwanzo huwa wanakupa discount kubwa ila wakati wa kurenew unalipia gharama halisi.Ni hiyo ya goddady ni promo tu mwaka unaofuata utalipa zaidi ya dollar 15 ,na hata support yake utakesha endapo litatokea tatizo.
Mfano nikihitaji kutengenezewa hiyo website je ni huduma gani zaidi napatiwa?PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=
Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain
Kwa package hizo hapa juu gharama ni 60,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
Nimekuelewa kiongozi,let us make things move aheardMfano nikihitaji kutengenezewa hiyo website je ni huduma gani zaidi napatiwa?
Itakusaidia kutangaza biashara au huduma unayoitoaMfano nikihitaji kutengenezewa hiyo website je ni huduma gani zaidi napatiwa?
Mh yaani kweli elimu mali maana hapa mida mingi natoka kapa sijui Domain ni nn,hosting naweza kisia kuwa ni umiliki but kwa kuwa nipo na nyie ndugu zangu wataalamu nitaelewa tu.Gharama ya Domain godady.com kwa mara ya kwanza unapata mpaka kwa $1.99/year na hosting pia zipo wanatoa gharama ndogo na kubwa ila nimeona pia godady wanatoa kwa $1.00/month ambayo ina 100gb storage ila kwenye kurenew nazani inakuwa zaidi ya hiyo. Kwa mimi natumia Hostinger bei zao nikubwa ila wana huduma nzuri (support) bei zao ni kuanzia $2.15/month. Hivyo jumla hapo unatakiwa walau usikose 80,000 Kwa kuanzia.
E- Newsletter Unamaanisha Bulk-Email? Kama ndo hiyo ni nzuri na inafaa kibiashara. Kampuni maarufu zinazotoa hiyo huduma nikama Mailchimp,Mailerlite,Drip na nyingine zipo nyingi inategmea na feature unazokuwa unahitajiKuna kitu kinaitwa E- Newsletter. Huwa natamani nitengeneze na kuifanyia biashara katoka matangazo. Je mnatengeneza? Nayo inafaa kibiashara??
Shukrani sana kwa ushauri nzuri pia,hata mm nililiona hili nikawa za bora kuanza na blog ambayo gharama zake kidogo zipo chini as long bado hujakuwa na uhakika wa namna utakavyopata audience wa kutosha na namna watakavyokubali kazi yako hapo ndipo unaweza kutanua mbawa zaidi.Kwa upande wangu kulingana na uzoefu katika career hii inategemea na mahitaji yako, kwa kibongobongo unaweza kuanza na blog, kwa maana ni nzuri kuanza kwa mtaji mdogo. Kwa upande wa website unaweza kuanza endapouuna mtaji wa kutosha kuanzia.
- App inapendeza zaidi ikiambatana na website au blog ili kuweza kufikia audience tofauti tofauti katika platform na mazingira tofauti pia, hii wengi wanatengeneza baada ya blog/site yako kupata jina na watumiaji (kwa maana ikishaanza kua biashara serious)
Shukrani sana kwa ushauri nzuri pia,hata mm nililiona hili nikawa za bora kuanza na blog ambayo gharama zake kidogo zipo chini as long bado hujakuwa na uhakika wa namna utakavyopata audience wa kutosha na namna watakavyokubali kazi yako hapo ndipo unaweza kutanua mbawa zaidi.