Blog ina tatizo, msaada

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
884
Reaction score
836
Blog badala ya kusomeka chekasasa.blogspot.com yenyewe baada ya kuingia inasomeka chekasasa.blogspot.co.ke

Msaada wadau..
 
blog badala ya kusomeka chekasasa.blogspot.com yenyewe baada ya kuingia inasomeka chekasasa.blogspot.co.ke

msaada wadau

hiyo ni kawaida sababu kubwa ya blog yako kusomeka hivyo unaishi mkoa ambao uko karibu na kenya {kama sio mkoa wa MARA basi mingine iliyo pakana na kenya}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…