mwanajamii112
Member
- Aug 21, 2014
- 21
- 9
safi sana mkuu! Hii kitu naihitaji sana, nataka nifanye biashara na wewe! Nahitaji blog asup, utanifanyia kiasi gani?Tunatengeneza na kudisign blog, kwa anae hitaji tuwasiliane kupitia
faridisadick2@gmail.com au
Piga simu 0659505081.. kwa sample ya blog tembelea
MWANAJAMII WA KWELI
safi sana mkuu! Hii kitu naihitaji sana, nataka nifanye biashara na wewe! Nahitaji blog asup, utanifanyia kiasi gani?
Asante kwa offer mkuu issam! Mimi nahitaji blog siyo website! Pia mwelekeo wa habari zinazotolewa si za interest/hobby yangu na pia sina uwezo wa kuzi-maintain! So buying your already established website will cost me a lot with no any return as I will lose your niche! So, its better I start from scratch!Mi nauza website hii Udaku News - Home Of Gossip bei fresh. Hii site news zina jiandika wenyewe hupati tabu ya kuandika. Km utakua interested nifate chemba
safi sana mkuu! Hii kitu naihitaji sana, nataka nifanye biashara na wewe! Nahitaji blog asup, utanifanyia kiasi gani?
My contact 0659505081
Asante sana mkuu kwa kunisaidia kufikisha ujumbe! Sipendi kweli watu ambao kusema bei tu wanahitaji privacy!!weka bei wazi kama atashindwa huyo mwingine anajipima.
au hujui biashara za mtandaoni. hii post yako inasomwa dunia nzima.
safi sana mkuu! Hii kitu naihitaji sana, nataka nifanye biashara na wewe! Nahitaji blog asup, utanifanyia kiasi gani?
Asante sana mkuu, hii bei ina-comprise huduma kiasi gani na for how long? Please!Bei ni tsh 350000/=
Asante sana mkuu, hii bei ina-comprise huduma kiasi gani na for how long? Please!
Kwa hiyo hapo unamaanisha nini?Hahahaa, JF raha sana, unaandika swali kama mwanajamii112 Halafu unajijibu mwenyewe kama muuza ubuyu
So funny