Kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka duniani (Fifa) Bw. Sepp Blatter, amesema mchezaji wa soka wa Argentina Lionel Messi hakustahili tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 2014 yaliyofanyika nchini Brazil.
Katika mashindano hayo Messi na timu yake ya Argentina walitolewa katika fainali baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Ujerumani iliyotwaa taji [emoji146]
World Cup: Lionel Messi didn't deserve Golden Ball, it was an error - Ex-FIFA President, Blatter
Former FIFA President, Sepp Blatter has said that Lionel Messi did not deserve the Golden Ball at the 2014 World Cup in Brazil. He received the Goldendailypost.ng
Tuache unafiki WC ya 2014 Messi alikiwasha sana hata final hawakuwa na bahati tu waliwadhibiti vzr Germans. Tumuulize Blatter nani alistahili??
Kweli shule ulienda kusomea ujinga. Mwaka 2014 Mbappe alikuwepo kikosini?
Inawezekana ni dunduka oyaoya hivyo ni kawaida sana kuwa katika hali ya umbumbumbu...Kweli shule ulienda kusomea ujinga. Mwaka 2014 Mbappe alikuwepo kikosini?
2014 mbape alifanya maajabu gani mkuu? Na hayo maajabu alifanya akiwa chumbani kwake?
2014 Mbape hakucheza.