Blast kills around 50 in Nigeria's Borno state

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa katika soko moja kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno ambapo watu 50 wamefariki huku wengine 55 wakijeruhiwa katika mji wa sabon gari.

Haijulikani iwapo mlipuko huo ulisababishwa na mlipuaji wa kujitolea muhanga ama kilipuzi kilichotegwa katika soko hilo.

Kundi la Boko Haram limekuwa likitekeleza mashambulio katika eneo lote la kaskazini mashariki mwa Nigeria.


 

Attachments

  • 141222162953_nigeria_bomb_blast_640x360_ap_nocredit.jpg
    9.9 KB · Views: 172
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…