M mabomu Member Joined Feb 17, 2011 Posts 43 Reaction score 7 Feb 22, 2013 #1 wadau tangu asubuhi blackberry imenigomea. kuna mwenye tatizo kama hili? hai-connect internet with tigo
wadau tangu asubuhi blackberry imenigomea. kuna mwenye tatizo kama hili? hai-connect internet with tigo
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,480 Feb 22, 2013 #2 Mie ninatumia tigo na inapiga mzigo kama kawa.. Asubuhi nilikuwa ninachat na mtu kwa bbm baadae ikawa haionyeshi delivery report.. Baada ya nusu saa akanitumia msg akisema iligoma kwake kwa muda but ikarudi..
Mie ninatumia tigo na inapiga mzigo kama kawa.. Asubuhi nilikuwa ninachat na mtu kwa bbm baadae ikawa haionyeshi delivery report.. Baada ya nusu saa akanitumia msg akisema iligoma kwake kwa muda but ikarudi..
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,917 Reaction score 5,316 Feb 22, 2013 #3 Kwa hiyo 'blackberyy' yako lazima igome. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,281 Feb 22, 2013 #4 B/B inadunda mzigo hata kwa tiGo Jaribu tena utapata jibu