BlackBerry asilani haifunguki kwa shilingi 450/=
BlackBerry (original) haihusiani na mitandao ya makampuni mengine yoyote yanayorusha Internet kwani na wao wana mitambo inayorusha Internet km vile Explore, Mozilla nk
Unachotakiwa sasa ni kuweka Bundle ya sh 7000/= kwa Vodacom, Tigo, Airtel na wengine km wamejiunga na hiyo BB sasa wao watakupa huduma hiyo ya wiki moja tu na baada ya hapo inakwisha unajaza tena, siku ingine unajaza hadi 30,000/= kwa mwezi
Ni Asilani hawaruhusu kutumia simu zao kwa Internet labda BB fake
ni simu yenye kasi na utadown load kitu chochote na kwa kasi ya ajabu
Nakushauri utafute USBcable yao ya kuunganisha kwenye Computer jaribu kutembelea Sapna Samora DSM, bei ni kuanzia 50,000/ vifaa hivi vipo pia kariakoo kwenye maduka ya simu za mikononi ila ni Mchina lakini ni fake hasa labda cover/Housing
Ndugu yangu BB (origional) ni gharama sana ndio maana zinagonga 900,000/= kuendelea