Blackberry Storm inauzwa

dmatemu

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
956
Reaction score
553
Kwa walio interested, BB STORM 9530 mpya kabisa inauzwa Tsh 350,000/=. Nicheki 0713460709
 
Je naweza kuitumia kwa intaneti kwa maana zimekuwa locked kwa mitandao ya kibongo kutumia intanet,kama ndio ni mtandao gani inakubali
 
Iko fiti kwenye net imeshafunguliwa. Pia haina habari za BBM na mtandao wowote unakubali
 
Picha hizo za BB storm 9530
 

Attachments

  • bberry-storm-veriz-hero_duo.jpg
    26.4 KB · Views: 53
  • verizon_blackberry_storm_9530.jpg
    30.5 KB · Views: 61
Kumbe hizi simu hazina BBM mbwembwe zote hizo za matouch touch?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
laki mbili hii hapa km fresh ni PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…