Mkuu me nahitaji iyo sema nipo dar kwaiyo tunafanyaje sema nina pungufu kidogoWhatsApp iko poa. Inakubali apk za android
Mazungumzo yapo kiongozi. Waweza kuja inboxMkuu me nahitaji iyo sema nipo dar kwaiyo tunafanyaje sema nina pungufu kidogo
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Mimi bado natumia whatsap kwa Q10 yangu!ila inaniambia huduma hiyo haipatikani kwa simu yangu,naweka Ok kisha naendelea kama kawa.waambie wateja ukweli BlackBerry 10 smart phone watsup mwisho mwaka huuu...
google for more info... hao watsup wenyewe wanasema hivyo....