Unakata kwa kuwa ni bei cheap au unakataa kwa kuwa ni bei juu.....nokia E72 Free duty Shops iko Dola 520.What do u expect kwenye Blackberry!!Ukiweka kwenye shilingi kwa kweli inauma ku moyo balaaa...mie mwenyewe nahitaji...ila nimepita entebe just free duty shop ndio bei hiyo....fast kuweka kwenye shilling....nikaweka dilo zangu kibondoni..naendelea na vodaphone yangu ya torch 20k...Inakamata voda mpaka Senegal.