Helow wana JF
Kama heading inavyosema apo juu nauza my blackberry curve 8520, bei ni sh 150,000 ( laki na nusu ). Ila inatatizo la sensa imeanza kuchoka na housing ni ya kubadilisha maana imechoka. Kama unaitaji nipigie kwenye 0716-369299
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums