kuwaka taa nilimaaniasha ku blink yaan, zzinaweza kuwa zina blink mara tatu au zaid kutokana na tatizo liliopo, kuwaka taa kama ivo ni kawaida kwa kompyuta ikiwaka, ila natumai ulisha solve changamoto yako. kama tatizo linakua sio severe una solve mwenyw kuliko kumpelekea fundi akala ela yako, mambo muhimu kujua hali ya pc yako ni kuangalia logs za system mara kwa mara na kuhakikisha uki update pc usiizime mpka imalize ku update.