Mkuu Emma. ukiona kitu aghali au hakiendani na unavyodhania....wewe pita kimyakimya.......hiii ni kutokana na ulichokisema.....kimewakwaza wanunuaji wengi ikiwapo mimi nikiamini kuwa kuna sehemu zinzuzwa rahisi zaidi.....(na ambapo hujatuelekeza).....na zaidi, itampa wakati mgumu sana mshikaji kuuza bidhaa yake!
pengine ungefikiri kumwandikia in pm, labda ingemfanya na muuzaji kupunguza bei yake kulingana na ufahamu wako!
Nisamehe lakini!