M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,788 Reaction score 4,475 Jul 15, 2021 #1 Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani
Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,966 Reaction score 31,498 Jul 15, 2021 #2 Ufundi/uhunzi wa vifaa vya tiba
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,427 Reaction score 17,034 Jul 15, 2021 #3 Kwa level ya nchi kibongo bongo utakuwa fundi mchundo wa vifaatiba Kwa nchi za mabeberu, utahusika na kudesign, na kuvumbua technologia mpya ya vifaatiba
Kwa level ya nchi kibongo bongo utakuwa fundi mchundo wa vifaatiba Kwa nchi za mabeberu, utahusika na kudesign, na kuvumbua technologia mpya ya vifaatiba
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,173 Reaction score 42,840 Jul 15, 2021 #4 Bongo wapo kusubiri kifaa cha tiba kiungue hospitalini..ili watengeneze..hakuna zaidi. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo wapo kusubiri kifaa cha tiba kiungue hospitalini..ili watengeneze..hakuna zaidi. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Pyredbello Member Joined Feb 25, 2018 Posts 54 Reaction score 35 Jul 18, 2021 #5 malembeka18 said: Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani Click to expand... Inapatikana Muhimbili pekee kwa Ngazi ya Degree Lakini utasoma vyuo viwili kwa wakati mmoja Mwaka wa kwanza Semister I (Muhas) Semister ya Pili (MUST) Then mpaka mwaka wa tatu ndipo utarudi tena Muhas kumaliza watatu na wanne
malembeka18 said: Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani Click to expand... Inapatikana Muhimbili pekee kwa Ngazi ya Degree Lakini utasoma vyuo viwili kwa wakati mmoja Mwaka wa kwanza Semister I (Muhas) Semister ya Pili (MUST) Then mpaka mwaka wa tatu ndipo utarudi tena Muhas kumaliza watatu na wanne
Quimica JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 1,118 Reaction score 1,395 Jul 18, 2021 #6 malembeka18 said: Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani Click to expand... Vifaa tiba ,ipo Muhas Degree yake inacompetition sana Mwisho One ya 5 kwa PCM
malembeka18 said: Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani Click to expand... Vifaa tiba ,ipo Muhas Degree yake inacompetition sana Mwisho One ya 5 kwa PCM