Hivi hili likitokea marekani ndio linakuwa NEWS kiasi hiki? Watu kibao wanapata sumilar incidence hapa tz na inapita kimya kimya (au haipewi airtime ya kutosha), why?
Hapo nyumbani ni watoto wangapi wa miaka Tisa wanacheza na Sub- Machine Gun inayotema risasi 600 kwa dakika?
Ishu ni miaka ama incidence ya ajali mkuu? Mi nimefunza ballistics & firearm techs from Military, hunting & handguns ajali kama hizo zipo sana tu but adamantly are heard at int arena..anyway is not a big deal!
Ila honestly sisi weusi hatupewi the same attention (hatujipi att) kama ambavyo weupe wanajipa hata kama sio wa nchi moja. Hiyo news imerushwa jana all over Europe, Australia & America..as if its a biiig thing, ukiskia ya Afrika ni Vita ama ebola..sceptical memes

Wamarekani wana ulevi mkubwa sana wa bunduki; inatisha sana. Jirani yangu ana bunduki zaidi ya kumi! Unajiuliza zote hizo za nini? Kila anapoenda kwenye gun show huwa anakereketwa kutaka kununua nyingine!