Mmmh...
Navojua mimi,kuwa mwanasheria ni lazima uende shule ya sheria (law school) pale nyuma ya mawasiliano,halafu ufaulu,uithinishwe na wenyewe halafu upewe muhuri...
Hapo utakua mwanasheria.kwa hapo alipo..naomba abadilishe jina la kujiita mwanasheria,maana waajili wanaweza wakampiga chini kwa kuwa bado hajajitambua kama yeye ni mwanasheria au la....
Ni maoni tu!