Binti mkubwa wa Dr Dre analala nje kwenye gari wakati baba yake ni billionaire

Madonna hajafa yupo hai
 
Chako ni chako tu
Huwezi kutegemea au kujisifia ooh baba yangu tajiri Hell No
Pambana kivyako tu
Siamini kutegemea mtu hata siku moja na sijawahi kulala njaa wala kutegemea mtu zaidi ya Mungu
Tangu nimeondoka home hata sijafikisha 20 nimekuwa wa kujituma tu na kila leo maisha ni mazuri sana kwangu
Vijana pambaneni usisubiri baba afe au umtoe roho kisa kakunyima shamba
 
ngozi nyeusi hata iwe mahali gani kwenye hii dunia huwaga ni ya kifoo sana,wazungu wamalizane na didy waje kumfilisi na huyu mzee wa straight outta compton
 
Kuna vingi nyuma ya pazia ukitaka kupatana na mtu always online au kwenye vyombo vya habari sio sehemu sahihi, mimi ukikosana na mimi nitafute uongee na mimi ukimuingiza mtu wa tatu tu hata kama ni mzazi wangu siwezi kuelewana na wewe hata
Wewe uko kama mimi..yaani tukizinguana usijaribu kuongeza mtu wa tatu..aisee sitokusikiliza kbs
 
Kumbe issue kubwa kwenye ndoa ni kugawana mali tu.., aliona musu haimtoshi, kaamu kuvumilia kasubiri na sasa kapata 100% inayoenda kwa walatino wenzake..
Hapana yule mke wa Kobe kavumilia na kobe alimuoa akiwa 19. Kuna wakati akiwa na mimba ya binti yao wa mwisho aliyekuwa na Kobe, Kobe alikuwa anagonga nje sana hadi nusura ajiue kwa uchungu lakini akamvumilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…