mourisous JF-Expert Member Joined Jan 19, 2016 Posts 443 Reaction score 270 Oct 4, 2019 #1 Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam. Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM. Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo.
Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam. Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM. Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo.
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,894 Reaction score 4,474 Oct 6, 2019 #2 mourisous said: Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam. Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM. Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo. Click to expand... Nikupe huyu niliyenane ni mtu mzima ana watoto wawili nilimchukua mwanza kwao Bariadi Kwa sasa tumeshindwana nae anataka nimpe 150 wakati uwezo wangu ni 100 anapiga kazi vizuri tu na anajiheshimu sana
mourisous said: Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam. Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM. Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo. Click to expand... Nikupe huyu niliyenane ni mtu mzima ana watoto wawili nilimchukua mwanza kwao Bariadi Kwa sasa tumeshindwana nae anataka nimpe 150 wakati uwezo wangu ni 100 anapiga kazi vizuri tu na anajiheshimu sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,928 Reaction score 193,953 Oct 6, 2019 #3 Ngoja waje... Cc: mahondaw