yan nawasha mashabiki wa man city,wanaona man utd hawana uwezo wa kuwafunga,bt kumbukeni msimu uliopita goli la rooney lile la tik taka.sasa ndio itakuwa hivyo,kaeni mkijua kuwa man utd ndio bingwa wenu?mtanikumbuka maneno yangu haya?
Haaahaaaa! Japo mie siyo ManC lkn nikuulize kidogo... Vipi moto umezidi?! Maana hata hicho ulichoandika hapo hakieleweki. Unatoa taarifa au unauliza maswali?! Hii si ungeiweka tu kule kwenye sredi yenu? Niliwahi kumuona kocha wenu Furgie anapata kifafa uwanjani! Unakumbuka? Taratibu ndugu usije ukapata brain konkesheni!!!