Basi ni hatari kama na vyombo vyetu vinasema hivyo!! Hahahhah!!TBC je?
Jeshi lijipange zaidi ziwa lote la upande wa kazkazi ni la Tanzania
lazima tuwachape
Pale sio Anjwani tukiingia kichwa kichwa na hawa wanajeshi wetu waliozoea kudunda raia kila siku tutapokea kipigo cha Mbwa mwizi, ni heri diplomasia ichukue mkondo wake