Nianze kwa Pongezi Kwa aliye Mteua Mkuu Wetu Wa Tabora(Toronto) , Mungu Ibariki Tanzania.
Aisee huyu jamaa amekuwa Maarufu sana Tanzania kutokana na hii fani yake ya uchekeshaji na sio Kipaji cha Uongozi, Kawazidi mpaka wale Wote wenye fani Zao.
Aisee popote anaposimama watu ni "Woyooo Woyoo" na full vicheko.
Daah huyu jamaa anajua sana na anatumia misemo inayoishiπ
"Jifanye unajikuna"... Sukuma ndani" mishawasho" soma hiyo"... Soma ukilejea na sauti yake.