kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,658
😂😂😂taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi
sio fresh.
Ndivyo ilivyo kwetu sisi watumiez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.
asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito ,
sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito,nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji tu mara nying, (mchana matunda usiku chapati mbil na maziwa)
by nature mimi ni mzee wa totoz ,hili siwez kulipinga (hapa najua weng mtanichoma ila mwanaume kamil anajijua)
baada ya kuunyimwa mwili chakula , umepungua kutoka 97 hadi 80 na nimeanza kujisikia mwepes,
taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi
sio fresh.
Jiridhishe wewe mwenyewe kuepukana na misongo ya mawazo, yasiyo na ulazimaMiez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.
Asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito ,
Sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito, nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji tu mara nying, (mchana matunda usiku chapati mbil na maziwa)
By nature mimi ni mzee wa totoz ,hili siwez kulipinga (hapa najua weng mtanichoma ila mwanaume kamil anajijua)
Baada ya kuunyimwa mwili chakula , umepungua kutoka 97 hadi 80 na nimeanza kujisikia mwepes,
Taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi
sio fresh.
Miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.