huhuhuuuu! kipya? umejuaje?nimepata mpenzi mpiya yaani kitu kibichi kabisa
Hujui wenzio washatumia mpaka wamechoka? huhuhuuu!
hebu fanya testing kwanza kabla hujasifia mashine yako! huhuhuuuu.............! utajikata wewe!
msalimie shemeji yako...
mambo!.. samahani hivi tulishawahi kuonana? huhuhuuu!
aisee.. you are very smart young lady!life ur life the way u feel no matter u ar ryt or wrong
huwezi kuwaridhisha kila mwanadamu mkuu
be ur self na maisha yako as long upo sahihi mbele ya muumba wako kwa kile ukifanyacho
jamani! umebarikiwa sauti ya saa saba usiku! huhuhuu!Poa, nimekusahau ujue nikumbushe we ni nani?
habar zenu wana jf,
nimepata mpenzi mpiya yaani kitu kibichi kabisa,chaa ajabu maneno yameshaanza kutoka,eti wanasema mbona sifungi ndoa?nikifunga utasikia mbona hazai mtoto?akizaa utasikia ongeza na mwingine ili apate wakucheza nae,umeongeza mwingine ukasema ili wasiseme tena ngoja niongeze mwingine,Heeee!!wanakuja juu mara haaa!sasa hawa watoto wengi hivi unataka kuwafanyia biashara gani au unataka kuanzisha tim ya mpira?mnazaaa tu bila mpango
huhuhuuuu! kipya? umejuaje?
Hujui wenzio washatumia mpaka wamechoka? huhuhuuu!
hebu fanya testing kwanza kabla hujasifia mashine yako! huhuhuuuu.............! utajikata wewe!
Mpya kwake mkuu si kwa wengine.