Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
[emoji2] [emoji2]Kuna mama mwenye nyumba hapa mtaani angeshachinjwa muda tu. Maana kwenye mlango wa daladala hatoshi.
Mshana jr[emoji2]Kuna namna unayoliwa mkuu we hujui tu kuna video zao nazionaga kuzimu kule hatari..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hayo majitu yapo.Habari zenu,
Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndio hali yake inazidi kuwa mbaya.mwisho nimeamua nimchinje baada ya kumvumilia kwa muda bila mafanikio.
Sasa wakati namchinja mawazo yakanijia "Vipi kama huu ulimwengu ungekuwa na majitu makuubwaa(Giant) yakawa yana tufuga sisi yakawa yanatutumia kama kitoweo, kwenye sherehe anachinjwa mtu,mgeni lijitu likija anachinjwa binadamu ukiumwa ukawa hauna dalili za kupona unachinjwa ili kuepuka hasara.
Kweli wewe uliye soma uzi huu kwa hiyo afya mgogoro yako ungelikuwepo kweli?[emoji2]
Ni jambo la kufikirisha sana.
Usishangae,
Kuna rafiki'angu kanipa kahawa ya baridi ipo kwenye kopo kaniambia eti ni toleo jipya.
Mbona watu wanaliwa sana tena hapo jirani tu Uganda! Na misitu ya Congo mbilikimo wanamalizwa... Mimi mwenyewe nilishawahi kula mtuHabari zenu,
Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndio hali yake inazidi kuwa mbaya.mwisho nimeamua nimchinje baada ya kumvumilia kwa muda bila mafanikio.
Sasa wakati namchinja mawazo yakanijia "Vipi kama huu ulimwengu ungekuwa na majitu makuubwaa(Giant) yakawa yana tufuga sisi yakawa yanatutumia kama kitoweo, kwenye sherehe anachinjwa mtu,mgeni lijitu likija anachinjwa binadamu ukiumwa ukawa hauna dalili za kupona unachinjwa ili kuepuka hasara.
Kweli wewe uliye soma uzi huu kwa hiyo afya mgogoro yako ungelikuwepo kweli?[emoji2]
Ni jambo la kufikirisha sana.
Usishangae,
Kuna rafiki'angu kanipa kahawa ya baridi ipo kwenye kopo kaniambia eti ni toleo jipya.
Wanawatafuna hadi mifupa?Mahaj, mabasha, nguru wanawala mashoga.
Wanadai ukishakula nyama ya mtu hautoacha hiyo tabia kwahyo hata mawe nadhani unaendelea na hiyo hulkaMbona watu wanaliwa sana tena hapo jirani tu Uganda! Na misitu ya Congo mbilikimo wanamalizwa... Mimi mwenyewe nilishawahi kula mtu
[emoji848][emoji15][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Wanadai ukishakula nyama ya mtu hautoacha hiyo tabia kwahyo hata mawe nadhani unaendelea na hiyo hulka
Mbona watu wanaliwa sana tena hapo jirani tu Uganda! Na misitu ya Congo mbilikimo wanamalizwa... Mimi mwenyewe nilishawahi kula mtu
Vyote mkuuAisee, huyo mtu ulimlaje, ulikula nyama ya mtu (human flesh ) au ??!!,
Trust me am not...! Seriously nimewahi kuonja nyama ya binadamu lakini sio hapa kwetuAre you joking?![emoji31]
Trust me am not...! Seriously nimewahi kuonja nyama ya binadamu lakini sio hapa kwetu