Mfano wa hao walio kuja ivo na wakaishia kuuza mitumba japo wa 5 tu.Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!
Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
Wadau kwa msaada mwenye pcha ya billnas aquote coment ya@mzurimie na aishare hapa tumsaidie mimi bnafsi sina na sipend kuwa na pcha ya msanii mwenye dharau na nidham kwa wakubwa zake
Poa wafutao walivuma ila baadaya kuwadharau waliowatoa walipoteaMfano wa hao walio kuja ivo na wakaishia kuuza mitumba japo wa 5 tu.
Sure.. mi bado sijaona dharau zake aisee..Mnyama mi uwa simchukulii serious sana.. Ye anaongea tu chochote anachojisikiaBillnas huwa anajibu fair sana. Hata akiulizwa kuhusu T.I.D huwa anajibu vizuri wala haoneshi dharau kabisa. Tatizo lipo kwa mnyama
Mkuu hapo wapo wanao mtetea kua anajibu fair huwanlisikia kwenye interview moja akisema hamjui ManFongo wala track ya Hainaga Ushemeji... nkajua huyu ni bongo movie kakosa scene tu ya kuigiza
Walikubaliwa na wakajitia viburi kwa waliowatoa kama Billnas anachokifanya kwa TID na ndo maana kwa majina yote hapo juu nilionesa kila mtu alimzingua nan kama hukuelewa kavae Miwani usome vizurHao ndo walikua waki hojiwa wana jibu kwa dharau na walikua anajiona mastar sio?
Au umetaja wasanii walio potea kimziki tu?
Madam habib live dogo anadharau sana niliangalia had chechee e-newz the way anavyozungumziwa na watu wake wa karibu kama vile Majiran etc dogo anaonekana kutojali pia sidhan kama yupo msanii aliye sereous na asimjue MAN FONGO kwa hiyo billnas kusema hamjui Man fongo ni moja ya dharau anashindwa kujua Kuwa Man fongo ni moja ya wasanii wanaopendwa na kukubalika live show kuliko yeye Bilnass!Jamani muwe positive