Huu siyo mkopo ni Grant, hela za bure. Sema naona kuna mkono wa mtu, au Bill Gates kaingizwa mkenge, au ana maslahi yake na hii Kampuni. Kwa kawaida Charity inakwenda kwenye mfuko wa Non-Profit Organization, kwa mtaji huu sidhani kama hii kampuni inaqualify as non-profit organization.
Hii ni kampuni ambayo inajiendesha kwa maslahi ya kuingiza faida, na siyo Non-Profit Org. Kitu chengine hii SIYO public Institution, bali ni private company.
Itakuwa wameongopa ktk Document zao. Kwa sababu kisheria hizi hela lazima zitozwe KODI, kwa sababu hii ni Profit Org. Sasa kama Bill Gates anasema ni "Charity" hizi hela inabidi zisitozwe KODI? Wow!! Hiyo ndiyo Bongo.