Bilionea amjaribu Magufuli

Umeleta hii habari ili rais...aingilie kati..!.....kumbe mna imani nae...punguzeni shobo za kumponda sasa
 
Kama kamishina Sirro kasema kesi ipo mahakamani,basi mahakama ndiyo yenye kazi ya kufanya.
 
Syle ya Jamhuri ni kuwachonganisha watu na Magufuli.
Sio vizuri. Hata kama mtu kavunja sheria sio lazima iwe kwa sababu anampinga Rais...habari kama hizi ndo zinachochea chuki...
Mara hoteli yamjaribu JPM, Wizara yamjaribu JPM, mara bilionea amjaribu JPM acheni hizo.
Hii habari sio fair ukizingatia kesi iko mahakamani..
Jamhuri jirekebisheni.
Sensational journalism sio nzuri haswa kwa gazeti linalojinasibu kwa kuandika habari za kiuchunguzi.
 
Kesi ya mpangaji kung'ang'ania vya watu..
 
Hii habari imekuwa kama novel yaani kuisoma habari ndefu kama hii kunaweza kupunguza muda wa msomaji kufanya kazi?
 
Kwa kweli kusoma tuwaachie wazungu.....ndefuuuuu
 
Baadhi ya Polisi wananuka!Ikija upande wa Makonda unamtetea Sirro.Likija suala la ukuta Sirro unamuita policcm,sijui mkoje nyie watu.
Yaani polisi kwenye matatizo ni sawa na kwenye ajali yoyote inayohusisha daladala au boda boda huhitaji kuumiza kichwa kujua nani ana kosa
 
Kichwa cha habari na habari tofauti... Habari za bandari na mali asili zimeisha?
 
Politics buana, kwa hiyo Jamhuri wanatafta kumharibia kazi kamands Sirro?
 
Manyerere Jackton wallah sikuwahi kukuona mtu wa maana hata siku moja unatumika live hii issue naijua nje ndani fika petrofuel kavamia hilo eneo kwa miaka 9 bure bure na pia mpaka huko kwa VP waliopelekwa na waraabu wa mafuta( waraab wa mafuta wamemshika sana vp hasa camel na oilcom) lkn akaona hyo kesi akiingilia itamshushia hadhi ikaenda kwa majaliwa lkn wapi petrofuel bado wanahngaika. Hapo wataondoka na fidia watalipa tu. Halafu unataka kuonyesha petrofuel ni ya wabongo hapana hao ni wahindi na kama kulipa kodi kwa serkali haihusiani maana na kuvamia eneo la watu.
ogunde ameongea vzr kbsa sasa naona mnataka kumchafua sirro bila sababu.
inshort hao waliondolewa wamevamia eneo la watu na hawana nyaraka hata moja ujanja ujanja tu
hivi unafikiri ww manyerere magufuli ni mjinga utamfitinisha na vyomno vyake vya usalama na kijarida chako hicho ambacho kimenunuliwa live ur a moron
 
Maelezoo mareeeeeeeeefu....,huyo Petrofuel anaetetewa haoneshi kuwa na vielelezo vya kumpa uhalali wa eneo zaidi ya kujinadi eti serikali inapoteza bilions za kodi,nchi ya sheria haiitaji kodi ya kampuni isiyofuata sheria hata zingekua ten billions per week,pia ningewashauri hao petrofuel watafute mawakili vijana wanaoweza kujenga hoja tofauti na huyu anaetafuta sympathy kwa kushutumu wenzao eti wanaongea kwa zarau.
 
Gazeti la Jamhuri ni gazeti maslahi, la kichochezi na sio gazeti la kizalendo.

Ni ukweli pasi na shaka Manyerere yupo kwenye payroll ya Petrofuel company kama alivyo huko OBC ya waarabu huko Loliondo.

This guy is very corrupt....
 
Huyu manyerere na kigazeti lao ni wapuuzi, wala rushwa sijapata kuona...ukichunguza hili gazeti utaona wanachoandika ni bifu ama kati ya wawekezaji na wananchi ama mwekezaji na mtu mmoja mmoja....sasa fuatilia utaona huyu jamaa amesimamia Wapi....definitely utagundua Yupo kwa "mwekezaji" tu........nothing else ni RUSHWA tu....lakini siku zake zinahesabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…