Kwaya, wanabongo fleva , ze komed, na vikundi mbalimbali hivi ndio vnatufanya tuhudhurie kesho. Maana pesa ya kuingilia kwenye kumbi mbalimbal ha2na. Kwayio lazima kesho 2enda. Tunafuata burudan, sio akina nape na magamba wanzeke.
riz1,tume ya katiba,rejao,nnauye jr watakufaa kwa hili
Asante kwa taarifa ,ila sijawaona humu wanielekeze
Watajitokeza tu,kutoa rushwa mchana kweupe kwao ni jambo la kawaida
Jamani Khanga ,Kofia na mitandio ya kijani tunapata wapi bure ili kesho tuende!mwenye taarifa jamani