Bila kiki bongo movie hazipati soko

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
268,282
1,096,054
Wema aanzisha challenge ya kunyoa vipara hilo sio tatizo taizo ni pale wanapoanza kuweka mafumbo. Fumbo kwa wapenda ubuyu huwa linafumbuliwa mapema na kwa urahisi

Kwa style hii bongo movie wana safari ndefu sana.
imeniuma mwenye kichwa kama helmet
 
Movie yake na Van Vicker (sijui nimepatia jina) inatoka/imetoka, kwa hiyo kiki inabidi zitafutwe.
 
Movie mpya ya wema,kaigiza kama mama wa mtoto,mtoto kaumwa, hana fahamu siku mbili hospital ila mama mtu yupo full makeup hata chozi hamna anaulizia hali ya mtoto
Ukikosoa unaambiwa mbona zari alienda msibana na makeup
Jambazi anavua viatu
 
Hahahahaaaaa.

Nitabaki kumuangalia Kingwendu tu.
 
Natamani nimjue huyo mwenye kichwa kama helmet...ila utashangaa team nyumbu wataanza kunyoa vipara
 
Movie mpya ya wema,kaigiza kama mama wa mtoto,mtoto kaumwa, hana fahamu siku mbili hospital ila mama mtu yupo full makeup hata chozi hamna anaulizia hali ya mtoto
Ukikosoa unaambiwa mbona zari alienda msibana na makeup
Hivi mtu akimpenda Zari lazima amchukie Wema au akimpenda Wema ni lazima amchukie Zari? Punguza chuki kwa Wema looh!!
 
Movie mpya ya wema,kaigiza kama mama wa mtoto,mtoto kaumwa, hana fahamu siku mbili hospital ila mama mtu yupo full makeup hata chozi hamna anaulizia hali ya mtoto
Ukikosoa unaambiwa mbona zari alienda msibana na makeup
Wema anajulia wapi mambo ya watoto wakati hashiki mimba sababu ya kuchoropoa sana mimba- word on the streets.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…