Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Huu uzi unatuhusu na sisi Kenge?Kuna tetesi mfadhili kagoma kutoa mwewe watu wape angani wawajambie waliowanyima vyeo.
Mfadhili kasema mpaka DJ mwenye aje kungurumisha spika apige scratch za maaana ndo atoe go ahead.
Wale wazee wa vyeo tayari washatua kwenye viwanja vya kufurahisha lakini hawana furaha maana kila wakimcheki DJ Facebook anawaaambia wajaribu kumcheki DJ MISHIZO utawaua!!
Bado hali ni tete huku kijana mwenye utundu akingoja huruma au suluhu ndo atoke makwaya hapo Jumatatu.
Wazee wa vyeo wamesema ikifika tarehe 3 yaaani Jumanne bila mwewe wanapaa wenyewe kwa ungo.......
Mwaka wa moto saaana.
Hizi ni tetesi
Hapa ndo unaambiwaga, EXPECT A LOT OF UNEXPECTED.Kuna tetesi mfadhili kagoma kutoa mwewe watu wape angani wawajambie waliowanyima vyeo.
Mfadhili kasema mpaka DJ mwenye aje kungurumisha spika apige scratch za maaana ndo atoe go ahead.
Wale wazee wa vyeo tayari washatua kwenye viwanja vya kufurahisha lakini hawana furaha maana kila wakimcheki DJ Facebook anawaaambia wajaribu kumcheki DJ MISHIZO utawaua!!
Bado hali ni tete huku kijana mwenye utundu akingoja huruma au suluhu ndo atoke makwaya hapo Jumatatu.
Wazee wa vyeo wamesema ikifika tarehe 3 yaaani Jumanne bila mwewe wanapaa wenyewe kwa ungo.......
Mwaka wa moto saaana.
Hizi ni tetesi
Don't gwajimanise my threadHuu uzi unatuhusu na sisi Kenge?
Dj ameshaachia chuma, wapambane wao na Dj mpyaKuna tetesi mfadhili kagoma kutoa mwewe watu wape angani wawajambie waliowanyima vyeo.
Mfadhili kasema mpaka DJ mwenye aje kungurumisha spika apige scratch za maaana ndo atoe go ahead.
Wale wazee wa vyeo tayari washatua kwenye viwanja vya kufurahisha lakini hawana furaha maana kila wakimcheki DJ Facebook anawaaambia wajaribu kumcheki DJ MISHIZO utawaua!!
Bado hali ni tete huku kijana mwenye utundu akingoja huruma au suluhu ndo atoke makwaya hapo Jumatatu.
Wazee wa vyeo wamesema ikifika tarehe 3 yaaani Jumanne bila mwewe wanapaa wenyewe kwa ungo.......
Mwaka wa moto saaana.
Hizi ni tetesi
Huko sterlingi si mzee wa "Lete Nyeupe kwa mashehe" ni ubwabwa kwa kwenda mbele.Kuna tetesi mfadhili kagoma kutoa mwewe watu wape angani wawajambie waliowanyima vyeo.
Mfadhili kasema mpaka DJ mwenye aje kungurumisha spika apige scratch za maaana ndo atoe go ahead.
Wale wazee wa vyeo tayari washatua kwenye viwanja vya kufurahisha lakini hawana furaha maana kila wakimcheki DJ Facebook anawaaambia wajaribu kumcheki DJ MISHIZO utawaua!!
Bado hali ni tete huku kijana mwenye utundu akingoja huruma au suluhu ndo atoke makwaya hapo Jumatatu.
Wazee wa vyeo wamesema ikifika tarehe 3 yaaani Jumanne bila mwewe wanapaa wenyewe kwa ungo.......
Mwaka wa moto saaana.
Hizi ni tetesi
Don't gwajimanise my thread
Dj Mushizo sio??Dj ameshaachia chuma, wapambane wao na Dj mpya
Watu lazima washibeHuko sterlingi si mzee wa "Lete Nyeupe kwa mashehe" ni ubwabwa kwa kwenda mbele.
Kaupima na nini??Mbowe kapima upepo kaona mambo ni magumu