Aisee pole sana msela! Kwanza lazima utambue kuwa wanawake siku zote wana hulka ya kujilinda, hayuko tayari kukwambia ukweli ile hali anajua atakuudhi. Hivyo hutumia uongo kama gia ya kukufanya umpende zaidi ila mwisho wa siku akikupa mzigo unakuta hola, ukimuuliza vp anakwambia "ningekwambia sina bikira usingenipenda kwa dhati."
Vilevile jitahidi kutumia mbinu yoyote mpaka umgonge, kwani demu hawezi kukupenda kwa dhati kama hujamgonga, na akipata mtu atakayemgonga vizuri ataanza kukuletea dharau halafu ukimzengua anakupiga kibuti mazima. coz si anajua yuko na anayejua kumkuna na sio wewe anayekuona NYOKA WA KIBISA.
Mademu wa sikuhizi wanataka mkianza uhusiano ndani ya wiki muwe mmeshagongana, kinyume na hapo nafasi anaiacha wazi mwanaume yeyote atakayeshusha mashairi mazuri anaachiwa mzigo.
NI VIGUMU KUMTAMBUA MSICHANA MWENYE BIKIRA LABDA KAMA KUNA WANA SAIKOLOJI KAMA WANAWEZA KUMTAMBUA.
HALAFU SIKUHIZI BIKIRA ZINAUZWA MADUKANI.View attachment 61538
Daah!! mkuu pole sana kwa uvumilivu wako wa kusubiria hiyo bikra. Kwani bikra unaipa nafasi gani kwenye mahusiano yako ya kimapenzi na utafanyaje ikiwa mkikubaliana kufunga ndoa kwa kujua utamkuta bikra halafu ukagundua kitu hakipo sealed?
Kwa upande wangu bikra sio issue sana kwenye mahusiano........awe nayo asiwe nayo nachohitaji ni upendo wa kweli, kujaliana, kusikilizana, kuliwazana, kuheshimiana, kusaidiana n.k n.k, kama hivyo vyote ana ''F'' basi piga chini faster na uangalie ustaarabu mwingine ila kama unataka hiyo bikra isubirie ndugu yangu wengine michezo hiyo ilishatupita kitambo tu!
Nimecheka sanaa...ulipotaja word *BIKRA*
Kuna Bikra na bikira ..bikira ni kinyume cha Neno Birika....
Bikra ni kinyume cha neno karib...
Sasa wewe umehaidiwa ipi
m-bake! ! ! ! !
m-bake! ! ! ! !
kaka acha naye tafuta wa kudumu naye. hao ndiyo zao nilikaa na duu miaka miwili akidai bikra nisubiri hadi ndoa lakini baadaye ananiacha
jamani na wewe unatoa ushauri wa dizaini hii.? mi hata sikubali
kubaka si lazima umchanie kyupi na mkasi na umvute nywele.
Mbona mie kuna mmoja nilimbaka na akafurahia tu hadi leo tuko pamoja???
Mfano: mkaka anakusumbua, mwalike kwako, mwandalie starter ya supu ya pweza, karanga na mohogo.
Main course mpe msosi wa maana si chips kuku
Dessert mpe whisky ya kutosha, pia wewe mwenyewe jiweke mkao wa kuliwa hapa namaanisha, jipakue kabisa kwenye sahani, mwekee uma na kisu karibu.
Haruki kiunzi.
Sasa hapa hujabaka tu???
wewe unachoogopa nini hapo? kuwa mshika pembe? unajua unaweza kumkimbia huyo ukaenda pengine na ukaendelea kushika pembe vilevile hata huko? ushawahi kumuuliza pesa za nguo na saloon huwa anatoa wapi? mi nadhani muulize kabla ya kuanza kuhisi
kubaka si lazima umchanie kyupi na mkasi na umvute nywele.
Mbona mie kuna mmoja nilimbaka na akafurahia tu hadi leo tuko pamoja???
Mfano: mkaka anakusumbua, mwalike kwako, mwandalie starter ya supu ya pweza, karanga na mohogo.
Main course mpe msosi wa maana si chips kuku
Dessert mpe whisky ya kutosha, pia wewe mwenyewe jiweke mkao wa kuliwa hapa namaanisha, jipakue kabisa kwenye sahani, mwekee uma na kisu karibu.
Haruki kiunzi.
Sasa hapa hujabaka tu???
hivi unajua maumivu ya kuwa mshika pembe wewe???
Bora 'Liwalo na Liwe' - source Pinda.
hapa hujabaka bhana,kubaka lazima "mabavu" yatumike
Hahahahahahahahhahahahahaha
kongosho unataka jamaa afungwe?