Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 278
niliendelea naye kwa kuwa nilikuwa nampenda sana na nilimjibu kwamba sikufuata bikira kwake.unaona Eeh!...na Ndio Maana Nami Nafanya Mchakato Ila Mimi Siwazi Kumkimbia Kwa Namna Yoyote Nitakayomkuta Nayo
Vp Wewe Uliendelea Nae?
Kongosho!!!!!!!!m-bake! ! ! ! !
my Gal Contact....What's goin' On!!!!!?
nina gf wangu(anajitegemea) ambaye kiukwel ninampenda sana na ndio maana hata aliponizuia kuwa nisimwage wino mpaka 2we ktk ndoa kwa kuwa yeye ni bikra na hakuna anayeistahl mpaka yule atakayemuoa(mimi),
mzee nikanywea na ku2lia
ila maisha ya mahusiano haya kiukwel naish kimashakamashaka hasa ukizangatia nampenda halafu mwisho wa siku nikapigwa pilipili ya macho
na hyo bikra yake kama mwana jf fulan hv.
Huyu gf mimi ni mwanaume wa pili anadai wa kwanza alianza nae mahusiano toka shule na wakadumu kwa miaka miwil kisha wakaachana
ingawa anadai nae hawakuduu nae.
Wajamen naomba msaada namna ya kumjua mwanamke bikra... Kwani nimechoka mwenzenu na hizi propaganda zake
suala la pili ni kwamba huyu gf wangu kila wiki anavaa nguo mpya vlievile hata kichwan yaan ni bandika bandua fashen za nywele after 2 wiks
(najua mshahara wake haukiz mambo yote haya)
ushaur wajamen plz mwenzenu nimefungwa!!
kabla ya yote. Mstadi mienendo yake kwa kwa ukaribu sana. hebu divert namba zake kwako. kua naye karibu sana kwa muda wa wiki mbili tu lazima kama kuna kitu utagundua. LKN PIA YAWEZEKANA AKAWA HANA MTU MWINGINE KWANI WATU WA HIVYO WAPO KWELI KWENYE JAMII ZETU. HAYO MAHUSIANO YENU YANA MDA GANI.
KUMBUKA wadada siku hizi wamekua makini sana kutoa uchi kwa wanaume wanatarajia kuwaoa kwani wanajua tu ukisha lala naye dhamani yake inashukuka automatically, pia, kuwa wachumba siyo lazima muduuuuuuuuuuuu........MHUUUU
U Mean Nami Nimfanye Wa KUZUGIA/MSHIKA MAPEMBE?
Nimekusoma Mkuu...shukran!