Bikira/mimba???

Kati ya mwanaume aliyemtoa mwanamke/binti bikira au aliyemp mimba na kumzalisha yupi mjanja??

mwanamke peke yake ndio mjanja, bikra inaweza kuwa ya mchina na mimba inawezekana ikawa sio yako
 
By the way hata ufanye nin mwanamke akikutoa moyoni hakumbuki chochote...... hayo mambo ya cjui nimeweka alama cjui i hit it first ni majigambo tu na ujinga ambao mmeukumbatia ndo mana hatuendeleiiiii

yaani ukiona hivyo ujue huyo mtu anaweakness na inferiority complex inamsumbua hapo...........
 
hivi ujanja si ni ujinga?

sasa hapa unauliza mjinga ni yupi, si ndiyo?
 
ndio maana umeambiwa Mada hii ni ya watoto litafutwe jukwaa la under 15 (wale wote waliomaliza Primary school)
kwani MLA NI MLALEO MLA JANA KALA NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…