Uchaguzi wa Mwaka huu kunaWalikuwa wanamdhamini Dr sende?
Huyo kasaizi alizingua hadi mzee pombe akampambania Mwl kashemezi kuwa mbunge !!!
Hiyo ndiyo biharamulo ya wasubi wasiosoma lakini wabaguz hatari.
Nipo rukaragata.
Ni Sahihi kabisa Dr. SSEBUYOYA kaongoza Kura za Maoni.Vip dr sebuyoya si ndio ameongoza kura za maoni iweje hao akina james KASUSURA
Kama ni hivyo basi ambaye atakuwa alipona na kikundi hicho atakuwa ni marehemu Kabuye peke yake, maana yake huyu mzee alikuwa anaendesha kampeni zake kwa hali ya umasikini mkubwa sana, hata kagari kenyewe alikokuja nako baada ya kumaliza ubunge wake kalikuwa kanaonyesha hali yake halisi ya umasikini.Kikundi hiki kilianzishwa na watu wachache.
Watu hawa wana miliki Biashara na wao wapo tayari kukusaidia pesa kwaajili ya Uchaguzi kwa Makubaliano maalumu