Bidhaa mpya inauzwa

Mwenyezi Mungu aisameee nafsi na roho yako siju ya hukumu
 
Eti kuna mpaka association of masterbators!!!! nilidhani nimeona mengi nimegundua I still have long way to go
 
Free masoni dini ya shetani ndo hiii sio kwamba ipo siku zitaanzishwa.++%+%+%+%+ shenz kabisa
 
hahahahaha.....nimecheka sana.... huku dunia inakoelekea sijui itakuaje...ila nahisi ...wanawake watashushiwa umuhimu wao sana katika jamii...hili litasababisha kiwango cha ndoa na familia kushuka . hii ni moja kati ya mikakati ya kupunguza watu duniani..mingine ni ile ya gay rights,legal abortion etc/ inafanikiwa kwa kiasi flani....nadhani ni wakati wa kusali sana...zaidi sana kwa wenye watoto / mi nshaogopa kuleta copy yangu/ huu ni mtazamo wangu wa haraka tu/ nina documentaries na articles nyingi nikiona hivi naelewa kinachoendelea.
 
kondomu tena ama inafanyika with a vivid example?
 
hahahaa...hii ikauzwe shule za boys itapigwa miti hadi itashangaa
 
Wee Bulldog umeikota wapi,?mbona mimi mpaka kufikia umri huu sijwahi okota hiyo ndude.
Waelekeze vijana wapi inauzwa,
sorry nawaulizia tuu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…