K Kyindikibisi Member Joined Apr 7, 2018 Posts 72 Reaction score 36 Nov 3, 2021 #1 Habari waungwana ningependa kujua ni wapi chimbo la vyombo vya mtumba vya majumbani kama sahani,vikombe ,jars za kuwekea maua,flampen na vyombo vingine kwa dar es salaam
Habari waungwana ningependa kujua ni wapi chimbo la vyombo vya mtumba vya majumbani kama sahani,vikombe ,jars za kuwekea maua,flampen na vyombo vingine kwa dar es salaam