Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria ili kuanza biashara, makadirio ya mtaji, jinsi ya kuanza biashara na Vipodozi vinavyoruhusiwa kuuzwa kwani ukikosea hayo unaweza kupoteza biashara yako muda wowote. Mafunzo haya yatatolewa bure na AFYA ZAIDI CONSULTANTS na yatakuwa kwa njia ya WhatsApp ili kuwezesha watu wengi zaidi waweze kupata wakiwa walipo. Tuma meseji kwa whatsapp namba 0743422883 ili utumiwe link ya group kwa kuwa link jamiiforums hazitakiwi sana.
Kujua zaidi kuhusu AFYA ZAIDI CONSULTANTStembelea website yetu na ukurasa wetu wa facebook
Kwa kiasi cha wastani tu maana hakuna siri wala standard prices kwenye biashara ya vipodozi Tanzania, maduka mengi ya jumla yanapatikana Kariakoo (Kwa Dar es salaam) na bei ni huria kwa hiyo zinatofautiana.