Kama una frame weka ni vipodozi.
Ila kwenye suala la kucha awa muha wanaringa sana jifunze mwenye kupaka rangi, rangi bei rahisi sana nunua jifunze ndani ili baadaye uwe unafanya mwenyewe.
Changamoto za izo kazi unaweza ukapigwa kipigo cha mbwa mwitu kisa mke wa mtu anakutaja taja sana yaani shobo nyingi so be carefull japo shobo ni nzuri kwenye biashara.