Jamani sikilizeni kwanza tanzanite haikosi soko hata Kama ww Una point 3 inauzikatu hayo masoko yandani.
Mtu anaekwambia hakuna masoko, Mzigo ni mwingi ni muongo, na Kama huyajui hayo madini usiingie Ktk hiyo biashara,
Mm ninae kwambia hv ninafanya kazi ktk machimbo ya tanzanite merelani. Masoko ya tanzanite kwa ndani ya nchi ni Arusha.