kwa kuwa sisi wengine bado hatuja engage katika biashara hiyo ila tuna elimu ya bussiness, before u decided to establish any kind of bussiness vitu ulivyo hapo taja juu kama maswali ni muhimu kujua ila kikubwa hapo ni kujenga friendship na watu wenye maduka ya simu hapo eneo unalotaka kama watatu hivi,ili uone tufauti za bei za bidhaa zao na kwanini na hayo maswali mengine nadhani watakujibu. kichwakichwa unaweza kuingizwa town ni hayo tuuuh by raykidd