Habari wapendwa wangu,
Nina mpango wa kuanzisha shule ya awali kuanzia miaka 2 mpaka 5 maeneo ya Tabata.. Naomba kufahamu changamoto, faida na mchanganuo wa gharama ya kufanya hii biashara..Mimi kwa sasa ni muajiriwa...Niko serious kama unajua huwezi kunishauri we pita tu...
Asanteni...