Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Apr 18, 2018 #1 Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka?
Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka?
G Gendaheka Member Joined Jan 3, 2018 Posts 31 Reaction score 15 Apr 19, 2018 #2 Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio?
Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 19, 2018 #3 Gendaheka said: Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio? Click to expand... Nyumba za konokono wa baharini
Gendaheka said: Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio? Click to expand... Nyumba za konokono wa baharini
BAFA JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 3,059 Reaction score 5,937 Apr 19, 2018 #4 kama unajuana na jiwe,mpwa,naibu raisi au mali ya mungu utaruhusiwa hata kama ni white piwder
Easyway JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 2,606 Reaction score 3,712 Apr 19, 2018 #5 Kaulize maliasili watakupa utaratibu wote
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 16, 2023 #6 Viol said: Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka? Click to expand... Viol said: Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka? Click to expand... Wasiliana na afisa uvuvi wa kata/wilaya/mkoa
Viol said: Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka? Click to expand... Viol said: Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka? Click to expand... Wasiliana na afisa uvuvi wa kata/wilaya/mkoa
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 16, 2023 #7 Viol said: Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka? Click to expand... Vp ulifanikisha
Viol said: Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi? Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400. Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka? Click to expand... Vp ulifanikisha
Congressman JF-Expert Member Joined Jun 2, 2020 Posts 814 Reaction score 2,420 Aug 17, 2023 #8 Gendaheka said: Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio? Click to expand... Hahahhaha this made my day
Gendaheka said: Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio? Click to expand... Hahahhaha this made my day
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 348 Reaction score 300 Aug 17, 2023 #9 Congressman said: Hahahhaha this made my day Click to expand... 🤣🤣🤣🤣